Kudadeki kwenye mvua unamlinda na ajari zingine lakini je kwenye maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi una namlinda? jamani mapenzi kweli ni mazuri yanapoanza lakini ni shubiri yanapofika ukingoni kwanii ipo ivyo lakini? mdau nipe comment zako hapo chini.....
ni kweli mvua inaponyesha unammisi kiivyo jamaani au anamdanganya tu mwenzake.........ebu mdau wangu changia hizi mada tuone ukweli upo wapi?
ni kweli mvua inaponyesha unammisi kiivyo jamaani au anamdanganya tu mwenzake.........ebu mdau wangu changia hizi mada tuone ukweli upo wapi?