Inawezekana mdau usiamini hiki ukionacho hapa mbele yako ila ni kweli kuwa yapata miaka kadhaa iliyopita hapa kwetu Tanzania kulianguka kimondo watu walio soma Geograph nadhani tutakuwa tunasomana , kimondo hicho kilianguka maeneo ya Mbeya na kimekuwepo huko kama sehemu ya makumbusho ya taifa na hii ni picha ya kimondo hiko.
Hawa ndiyo wadau wangu wa kuu wa huko mbeya ambao wamepiga picha ya Kimondo hiko na kunitumia mimi ili wadau muweze kukiona, mwenye shati la mikono mirefu anaitwa Sir Edwin (Humanities and social science) na mwenzake ni Sir Fred a.k.a Supu (computer science) wote wanapiga NONDOZ za kwanza kule Tumaini university Arusha hizo ambazo zipo kwenye mabano. Kila la kheri wakubwa..................!!